[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ishi kwa kuaa uwepo mwa Mungu kila siku.. na utaona matokeo yake.. maana biblia inasema
Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
The more you waiting God katika uwepo wake ndivyo utavyozidi kupokea nguvu za kutawa katika metron yako na assigment yako.. na ndivyo nuru inazidi kuingida ndani mwako.. nuru kunwa reflection kubwa shetani hawezi kaa kwenye nuru.. na hii kukaa uweponi kwa Mungu ni siri.. kadri unavyokaa na kutii ile nuru ina relfect nje.. utakumbuka Yesu kipindi yupo mlimani na wanafunzi wake ghafla wakaon nuru ( Yesu aking'aa), ile ni nuru ikaaya ndani ya watoto wa Mungu kama mimi na wewe.. na huongezeka hata ku reflect kwa kadri tunavyo jisumbit na kukaa uweponi mwake by kutii neno lake, kufanya atakayo, fasting, spiritual exercise, praying, etc [emoji3526][emoji3526]
Ni uongo ndiokwani uongooo 😋😋
🤭🤭🤭 guu lile na nyama lazima moto wa centigrade za mwili kwa mwili ziwee 🔥🔥wakubwa mkubwa anafaidi sanaaaNi uongo ndio
Tabia yako sijaipenda hataView attachment 2091328
Ndo nini sasa hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!Tabia yako sijaipenda hataView attachment 2091328
Ndo nini sasa hii
Ndo umeamua unicheke sio.. furesh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
Sijaona, nirushie PM basi 😋😋niokoene mdogo wenu nisije kufa kwa midadiNdo umeamua unicheke sio.. furesh
Wanawake weusi wanaurembo wao adimu sana
Uwiiiiii kiatu jamani kiatu..kimenikosha mnoo.ninauhakika nikikipata hicho na hiki kigauni cha hivi nitapendeza sana
Mimi mwenyewe sijaonaSijaona, nirushie PM basi 😋😋niokoene mdogo wenu nisije kufa kwa midadi
Mtatuua na ugwadu watoto wa wanaweka wenzenu 😢😢😢Mimi mwenyewe sijaona
Ewaaa hapa ni mnogoo paka kisogonii.. inabidi uvipate chap chap ☺️☺️Uwiiiiii kiatu jamani kiatu..kimenikosha mnoo.ninauhakika nikikipata hicho na hiki kigauni cha hivi nitapendeza sana
View attachment 2091404
😁Mtatuua na ugwadu watoto wa wanaweka wenzenu 😢😢😢
KabisaaEwaaa hapa ni mnogoo paka kisogonii.. inabidi uvipate chap chap ☺️☺️