Mimi toka nimeamka saa tisa sijafanikiwa kupata usingizi tena...mvua ilipoanza na mimi nikaanza kufua, sasa hivi nimerudi tena kitandani[emoji12][emoji16][emoji16]imefanyaje!
Ila mvua ikiwa inanyesha halafu nyumba haivuji..inakuwa safi sana. Ni moto tu
Eeh sijajua maeneo mengine ila huku kwetu inamwagika si mchezo japo kwa sasa imetuliaHivi kumbe daslam mvua inanyesha..loh niko mbali kweli
ManyunyuHivi kumbe daslam mvua inanyesha..loh niko mbali kweli
Kwani hujui kama umeme wetu unatumia maji![emoji2377][emoji2377][emoji2377]ka mvua kidogo na umeme kukata[emoji34]View attachment 2090242
Moto upi unaousemea lakini jumuia kuna moto??🤣😁😁imefanyaje!
Ila mvua ikiwa inanyesha halafu nyumba haivuji..inakuwa safi sana. Ni moto tu
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, poleni sana.Kwamasikitiko makubwa napenda kuwajulisha kuwa Sara amefariki Dunia.
Tumuombee pumziko la Amani amecha watoto wawili Mdogo anasumbuliwa na Saratani. https://t.co/YxWqjEwJfEView attachment 2090417
Yaani we jamaa unaoga vizuri asubuhi then unachomekea kumbe unakwenda kutukatia umeme!!Umeona mawazo yako sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].. nilishikwa na piratooo kwenye kazii plus baridiiView attachment 2090562
jumuia ya mtakatifu antonio wa padua.tushasali na sasa ni breakfastNyie mnaochat humu hamuendagi jumuiya?
rafiki wasikutishe.km vp dhambi zako nipe mmMoto upi unaousemea lakini jumuia kuna moto??🤣
dah wabongo mvua mnawaza ku....tu😁😁imefanyaje!
Ila mvua ikiwa inanyesha halafu nyumba haivuji..inakuwa safi sana. Ni moto tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]rafiki wasikutishe.km vp dhambi zako nipe mm
Kukinga maji[emoji1787]!!dah wabongo mvua mnawaza ku....tu
changu?Changu
no commentsKukinga maji[emoji1787]!!
Nimeamshwa salama kabisa changu lee..namshukuru Mungu.Umeamshwajee
Aise hongeren Kwa mvuaMimi toka nimeamka saa tisa sijafanikiwa kupata usingizi tena...mvua ilipoanza na mimi nikaanza kufua, sasa hivi nimerudi tena kitandani[emoji12]