Mbingu na zifungue dirisha la kufanikiwa, malaika wa uchumi na pesa wakaambatane na wewe, ardhi ikukubali kila ukanyagapo, ardhi itangaze taarifa njema kila mguu wako ukanyagapo, ardhi ikaongee yaliyo mema dhidi yako. Uchumia wako ukafunguke, na kila ufanyalo likawe ushudua.. Mungu akujalie nguvu zidi ya adui zako katika kila eneo la maisha yako.. Uvuli wa BWANA ukufunike aliyokupa yasipotee wala adui asikaribie.. wema wa Mungu ukufunike na nuru yake ikutangulie kila pande za nchi na dunia kuanzia sasa ikupokeee