πππππ ndio maana mahala pa maisha na ya mke na mume.. haipendezi wageneni wa ukeni au uumeni kuja kuweka kambii.. wana bana bana mambo.. kuna kipindi mnakuwa na mood ya kuishi kama adamu na hawa ila kukiwa na watu ngumu πππ
ndio maana mahala pa maisha na ya mke na mume.. haipendezi wageneni wa ukeni au uumeni kuja kuweka kambii.. wana bana bana mambo.. kuna kipindi mnakuwa na mood ya kuishi kama adamu na hawa ila kukiwa na watu ngumu