Ook nmekupata baada ya kusoma post hiiNajua ngumu kweli kunikumbuka, wengi tumepita mikononi mwako. Ila ni mmoja ya wanafunzi wako, umenifundisha C++ from zero paka advance level, umenifundiaha PHP OOP, ukanifundisha Yii, umenifundisha JAVA na umenifunidishaa API.. Nilikaa kitengo kwa ujuzi ambao nilipata nashukuru paka sasa hivi sio mtupu kwenye field.. nakumbuka mala ya kwanza kunifundisha ulinianzia na geany.. hadi leo ndio huwa nakatumia.. Asante kwa moyo mweupe katika kujenga na kuhamisha maarifaaa.. kwa wengine kwa moyo uliokunjuka.. sikupambi hataa.. najua moyo wako kwa kipindi ambacho ulikuwa unanifundisha.. na kufundisha wengine.. nipo kwenye field.. hapo jamaa yangu nilikuwa namtamia tu kuwa nimekuwa tapeli tapeli [emoji16][emoji16]c. c Satoh Hirosh
Yaani weweπππππKwaajili ya shemeji zangu..
Ujue ni risk kuacha picha yangu kwa muda mrefu hivo..
Halafu huu uzi unatembelewa na jopo la watu
Nimefanya tu ku sacrifce
πππ chief kwema lakiniOok nmekupata baada ya kusoma post hii
Alikuwa ni ndugu yake, ni ndugu. Sio huyu ingawa nae alipita DITMtangoo yule wa Idara Ya Telecommunications? pale DIT?
Si Pep πππHivi eeh??
Mimi sijui bf wangu ni naniπ
Kaka yangu starπ€π€π€πππ chief kwema lakini
Marriage is not a wedding....
Si Pep [emoji846][emoji846][emoji846]
Pep ni nani?Si Pep πππ
Umbeaπππ[emoji23][emoji23]
Kaka yangu star[emoji847][emoji847][emoji847]
Marriage is biblical ππMarriage is not a wedding....
Mimi pia natamani wawe hata nusu ya kaka zanguMtu anajivunia kaka yake kuliko mume wako. Kwenye uzi wa mawifi kuna mtu alisena "madada wengi wanatamani kupata waume wanaofanana na kaka zao"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pep ni kipara nguso πππPep ni nani?
awwwww.. hata hao ni ma pastor i hope unawajua wana mafundisho mazuri kweli ya ndoa [emoji846][emoji846]
Nikitulia ntaandika kagazeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi pia natamani wawe hata nusu ya kaka zangu
Kama ni kipara namjua japo sina urafiki naye.Pep ni kipara nguso πππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikatakiNikitulia ntaandika kagazeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]