Nakaziaaaaaaa[emoji12][emoji12][emoji12]Ahsante Rafiki...
Kumbukumbu zangu zinaniambia hujawahi kuweka Selfie yako humu..
Hebu Ibariki kwanza hii J3, halafu niweke mzigo wa kutosha hapa[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji91][emoji91][emoji91]
This dance music[emoji119]View attachment 2084995
Imenikumbusha kaka yangu alivyokuwa anazicharanga step
Na kuniandikaNaomba nikufunue nikusome mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pole kwa kuwa na siku ngumu nkamu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani bado unaninyanyasa tu????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikusemee kwa nani sijui[emoji848]
Umoja wa malastborn[emoji19]
Ngoja tujikusanye tuanze kukusimanga[emoji1787]Waite malast born wenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tujikusanye tuanze kukusimanga[emoji1787]
NgojaNipo hapa
Na tushakosa penalty!![emoji2][emoji2][emoji2]Simbaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnacheza na Mbeya City eeeh??
Tumogheleeee
Tuma binamu nasubiri kwa hamuuNawaandalia file la vitenge na kitumishi zaidi
Cha mdeko aka last born!!D
Dada watu wananihujumu kisa mimi lastborn[emoji19],wananionea wivu tu.
Kwa hiyo ufupi wangu unakupa raha sana sio!![emoji1787][emoji1787]
Hambebeki[emoji3]Na tushakosa penalty!![emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mno[emoji16]Kwa hiyo ufupi wangu unakupa raha sana sio!!
[emoji23][emoji23]kipimo cha ufupi|urefu wako simama na watu kwenye kadamnasi ndio utajua hapa nimetosha au nimepelea[emoji23][emoji23]Mno[emoji16]
Jinsi unavyouelezea[emoji1787]
ChiefBrother
Mimi huwa nawaangalia wafupinyundo wakiwa wananing'inia usawa wa bega langu😁[emoji23][emoji23]kipimo cha ufupi|urefu wako simama na watu kwenye kadamnasi ndio utajua hapa nimetosha au nimepelea[emoji23][emoji23]
Nimecheka sana.