Kama Namuona vile😁😁Hapo kanatabasamu kenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya kula ushibe.shughuli tumeshaimaliza😎Ndio nakula hapa
Humu ndani🙌🙌,nilikuwa napambana muda wote
View attachment 2084292
View attachment 2084293
😜😜😜Atapata tabu sana
Uliahidi utatenda
Nasubiri utimize ahadi
Kwenye nini tena mdogo wangu [emoji1][emoji1]
Kwa tabu sana[emoji1787]Afu wige si uliniona siku ile lakini?
Kama tulivyoonyesha umoja leo kupanbana na chamdeko..basi naomba nikuhakikishie mheshimiwa shemeji ndivyo vivyo hivyo tutaonyesha umoja wetu kukushushia nyundo za utosi siku ukizingua.Hallelujah...Dada mkubwa shemeji umeupiga mwingi kuliko yule Chief wa wasukuma.
Pep hawezi kukabidhiwa pisi 'blaka beauty' kabisa halafu aizingue
Halafu
Kwa tabu sana[emoji1787]
Dooh mkuu haujui tu jinsi gani kuna watu tunastruggle kuacha pombe ila tunashindwa [emoji3064][emoji3064]Ujikute[emoji1787]
Hata mimi pombeDooh mkuu haujui tu jinsi gani kuna watu tunastruggle kuacha pombe ila tunashindwa [emoji3064][emoji3064]
Sijui ulikuwa wapi partner in crime hadi nimepoteza battle hivihivi😁Partner in crime [emoji16][emoji16]
Kwanini uache mkuu kunywa kwa afya achana na ushaur wa kuacha we live once let's enjoy responsibly bila kuathiri uchumi wetuDooh mkuu haujui tu jinsi gani kuna watu tunastruggle kuacha pombe ila tunashindwa [emoji3064][emoji3064]
Hakuna mchezo Big Sisy..Chezea dada yake Anne
Hee😂Kwenye nini tena mdogo wangu [emoji1][emoji1]
Moto wa leo..lazima mngechana mkeka tuSijui ulikuwa wapi partner in crime hadi nimepoteza battle hivihivi😁
Karma hajawahi kuchana mkeka🤣🤣Moto wa leo..lazima mngechana mkeka tu