Selfika na JF: Snap it. Show it

Naam

Hayo maneno humo nikiambiwa mimi na mrembo kama Anne....

Ntahisi hii dunia ni yangu.

Kwa kifupi nta retire kwenye kila kitu nafanya 'nifanye kumpenda yeye tu'

Sisemi uongo ndugu zangu 🀣🀣
 
Naam

Hayo maneno humo nikiambiwa mimi na mrembo kama Anne....

Ntahisi hii dunia ni yangu.

Kwa kifupi nta retire kwenye kila kitu nafanya 'nifanye kumpenda yeye tu'

Sisemi uongo ndugu zangu 🀣🀣
🀣🀣
Tuendelee kulima mbogamboga.
Hivi baba umekumbuka kununua zile kamba??
Tushaambiwa tutakula kwa urefu wa kamba zetuπŸ˜‚
 
🀣🀣
Tuendelee kulima mbogamboga.
Hivi baba umekumbuka kununua zile kamba??
Tushaambiwa tutakula kwa urefu wa kambe zetuπŸ˜‚
Kuna possibility sisi 'wageni tuliokujaga na jasiri' tukafukuzwa mashambani.

Shamba zote zinarudi kwa wamiliki halisi wenye mashamba yao.

Hata zile alfu 7 za kila siku za palizi tuzisahau 🀣🀣
 
Kuna possibility sisi 'wageni tuliokujaga na jasiri' tukafukuzwa mashambani.

Shamba zote zinarudi kwa wamiliki halisi wenye mashamba yao.

Hata zile alfu 7 za kila siku za palizi tuzisahau 🀣🀣
Sa itakuajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi sijui naenda wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti ntaenda wapi sasa?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…