Waoo!hongera sana!Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....
Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this tumultuous world [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2081510View attachment 2081513View attachment 2081515
niko poa rafiki.nilikua nikuamshe twende tizi beach then tusali jumuiaNiko njema sana rafiki . Habari za wewe!!
Bosi Lady ukiselfika nikumbuke katika ufalme wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji2221][emoji2221]Niko njema sana rafiki . Habari za wewe!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]silent hater!!!aseehNilikuwa sijui kama kuna kitufe cha dislike kwa sababu huwa situmii browser. Siku moja nikaingia huko nikakuta jamaa mmoja kanitandika dislike za kutosha tu halafu sasa ni kule kwenye memes uzi wa vituko. Nilishangaa kidogo kwa sababu kile ni kijiwe cha kucheka tu na kufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2081621
Hahaa.. usiwaze mkuu!Bosi Lady ukiselfika nikumbuke katika ufalme wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji2221][emoji2221]
tupia moya ya muda huu.nimemiss kuona rangi nzuriHahaa.. usiwaze mkuu!
Ungenamsha jamani nahitaji kufanya mazoezi kwa wingii rafiki..nimekua mzembe mzembe sana ..so leo jumuia kwa nani nikuje!???niko poa rafiki.nilikua nikuamshe twende tizi beach then tusali jumuia
Umeanza mjeda!! Asubuhi yote hii rafiki??tupia moya ya muda huu.nimemiss kuona rangi nzuri
Asubuhi biashara jioni mahesabu, vya asubuhi vinanoga sanaaa au hujui 😊😊Umeanza mjeda!! Asubuhi yote hii rafiki??
kesho dimache kaa tayari rafiki kwa tizi.jumuia leo kwa muzee kyunguUngenamsha jamani nahitaji kufanya mazoezi kwa wingii rafiki..nimekua mzembe mzembe sana ..so leo jumuia kwa nani nikuje!???
Pamoja sana rafiki ngoja nijiandae nikuje fastaaa..kesho dimache kaa tayari rafiki kwa tizi.jumuia leo kwa muzee kyungu
unanikosha sana rafiki.utanifanya nivue gwanda .nitoke msituni hukuUmeanza mjeda!! Asubuhi yote hii rafiki??
Hahahaaa... haya niambie nani yupo anachitchatika selfika nani anazoom kimya kimya then natuma!Asubuhi biashara jioni mahesabu, vya asubuhi vinanoga sanaaa au hujui 😊😊
Lol naogopa gwanda litajaza waandishi wa habari vua tu aseeh!unanikosha sana rafiki.utanifanya nivue gwanda .nitoke msituni huku
merci! Karibu rafikiPamoja sana rafiki ngoja nijiandae nikuje fastaaa..
rafiki nipo weka vituHahahaaa... haya niambie nani yupo anachitchatika selfika nani anazoom kimya kimya then natuma!
Wanyaki mpo?
View attachment 2081783
Nipo njiani 🚶merci! Karibu rafiki