Selfika na JF: Snap it. Show it

komaaa hapahapa Chimbo zuri ni hapa selfika hakuna mwingine. Uzuri hapa hata kuwaona unawaona in selfie mode!
!!
Jana nilikuwa kwenye coaster along Kyela - Mbeya. Sehemu moja tukakuta dada kama miaka 20 au 23 kamsindikiza mdogo wake anarudi shule. Wakuu yule dada ni mzuri. Urefu kawaida, rangi poa kabisaa, umbo la kujichora, suruali ndani ya kikoi gademiti uwani pako vizuri, anavyomuaga mdogo wake nkasikia sauti tamu ya kike. Mapigo yalienda 160/dk. Asingekuwa roho mtakatifu kunikumbusha ningeshuka asee.
Vijana Mambo matamu yapo kitaa.
 
Hahaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…