sasa hilo tu ndo uporomoshe juhudi zangu zote..
okay hako ni kabiashara ka kudownload hela huku bearish kule bullish, yaani ni kama online bureau de change so kwenye exchange ya pairs kuna kafaida kanapatikana, ila ni betting iliyochangamka achana nayo na zaidi ntakuelekeza ukifungua PM..