Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
ndio dada mkubwa last born ukoo mzima na ndo mtata kuliko wote nikiamua jambo langu mpaka ukoo ukae ndo naweza kuwaelewa..
hiyo sio case sana kiukweli mahondaw aache kutusababishia mashambulizi ya moyo bado mapema..No wonder..
Amefanyaje kwani?hiyo sio case sana kiukweli mahondaw aache kutusababishia mashambulizi ya moyo bado mapema..
Hawa lastborn Hawa [emoji119]Si umemuona hapo anatususia watu wazima hadi tumbembeleze
Hawa lastborn Hawa [emoji119]
Mmh polemambo yenu ya mishono ndo mmesababisha yote hayo mara amegeuka sijui amefanyaje wengine tunaumwa ni wanaICU tunaotembea..
sahii haisaidii tena sasa, kama kesho asipokuja kunisalimia basi ntafanya kitu ..Mmh pole
hapo sasa ndo utakuwa umenibakisha vizuri usitume hao wanaosubiri utume waoshe macho wanawe uso maisha yaendelee..Nimekoma mbona..nimekosa mimi nimekosa sana naomba kusamehewa bureee!! Namimi nasema situmi tenaaa nimekomaa nikakoma tena!
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe ni last born kwenu?
Lizzy unakula nn saa nane usiku hii utavimbiwa[emoji28]..si unajua mida hii digestion inakuwa slow..lala bana
ππLizzy unakula nn saa nane usiku hii utavimbiwa[emoji28]..si unajua mida hii digestion inakuwa slow..lala bana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app