Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu bado natafuta confidence nikupigie
,sijui naitoa wapi akiyanani...hadi leo sijaipata
 
Inakuwaje sis darling?
Nilitaka niseme vi last born vikioana vyenyewe. Hapo ni kusukumiziana majukumu, kulalamikiana na kujiliza liza na kujidekesha. Kila kamoja kanataka attention kwa mwenzie. Hadi raha

Last born akioa binti first born ni sawa tu. First borne wao naturally ni leaders; so atasaidia kumuongiza last born. Shida inakuja kuna muda mke anaweza akapitiliza, akakupelekesha/ aka-act kama mama na sio mke tena. (Unajua wamama tunavyofoka eeh)
 
Eeh basi kaa tu kwa kutulia, then mwamini Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…