Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,535
- 235,283
Ila kuna muda huwa unajitoa tu ufahamu unajidai Yesu humuelewi[emoji16][emoji23][emoji23]sio muonekano, mimi nimeokoka na kusifu na kuabudu ni vipaumbele vyangu[emoji91][emoji91][emoji91]
We unamuelewa kwani? Mtu katuleta duniani tuishi kwa shida na matumaini hewa we unamuelewa vipi...Ila kuna muda huwa unajitoa tu ufahamu unajidai Yesu humuelewi[emoji16]
Umekula vitu vyenye afya sanaππΏππΏHii ina pweza, kaa, prones, mboga mboga, karangaa na vingine sivijui πππ
πππ Mwanzaaa.. nahisi tutakuwa tunapishana tuWapi sasa unakuja..Mie mpitaji tu
π€£π€£π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mchungaji wa mjini
Nachopendea hii nakula hadi jasho, alafu namalizia na chawi dawa kabla ya Americano.. then naanza mchaka mchaka kupandana na kina kaisari πππUmekula vitu vyenye afya sanaππΏππΏ
Umeanza tena!We unamuelewa kwani? Mtu katuleta duniani tuishi kwa shida na matumaini hewa we unamuelewa vipi...
Ila unaroho ngumu wewe...ndo nini kupishana Na wageni?sijapenda hii tabiaπππ Mwanzaaa.. nahisi tutakuwa tunapishana tu
Na nyie wageni hamkai makwetu mda mrefuu.. πππ.. muwe mnakaa hata tu wikiIla unaroho ngumu wewe...ndo nini kupishana Na wageni?sijapenda hii tabia
Safi kabisaππΏππΏNachopendea hii nakula hadi jasho, alafu namalizia na chawi dawa kabla ya Americano.. then naanza mchaka mchaka kupandana na kina kaisari πππ
AkuuuuNa nyie wageni hamkai makwetu mda mrefuu.. πππ.. muwe mnakaa hata tu wiki
Sie wakarimu, hata ukitaka hotel tunalipia kabisaaa, sie kwetu wasukumu pesa na upendo sio shida kwetuAkuuuu
Huyo ana undugu na kahawaSafi kabisaππΏππΏ
Inaelekea unapenda coffee sana.
Kuna kipindi nilikuwa bila kupiga espresso aise maisha yanakuwa magumu mno nachoka Choka hovyo
Tena wewe inatakiwa umpate mume ngangari kama wa kanda maalumu ukileta mambo yako chap Kwa haraka anakuzibuaπ€£π€£π€£vinginevyo utampanda hadi kichwani.Dah[emoji1787]
Hii kauli huwa naambiwa nyumbani
Yani...anazidi kuvuruga watuWa kishua kama wakishua.
Kaka mpole ,mlokole afu wa kishua yaani.
Ndo uniambie ni lini sasajamani jamani jamanii taratibuu zawadi yako inakuja π§π§π§
Usije kuwa wewe, kuna pisi kali moja tulikuwa tuna meet nayo karibia kila siku marrybrown inachapa ka espresso yake then hiyo inasepa hadi ikawa rafiki yangu.. πππππSafi kabisaππΏππΏ
Inaelekea unapenda coffee sana.
Kuna kipindi nilikuwa bila kupiga espresso aise maisha yanakuwa magumu mno nachoka Choka hovyo
Tushamuacha kilastboni chakoMueacheni Saint Anne πππ.. wangu
Kabisa kabisa ndo mana nikagongelea msumari na nyundoNimepatia, si eti chakorii![emoji91]
Tulia weweee π§π§π§Yani...anazidi kuvuruga watu