Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Aaah si nakufahamu

Mbona mi msweet tu sis darling! Sio wiki hii tu, nipo hivyo maisha![]()

Mbona mi msweet tu sis darling! Sio wiki hii tu, nipo hivyo maisha![]()
Muacheni mtoto wa watu adekeee ☺️☺️☺️☺️Wivu huo kwio![]()
Akiniweka mwisho namsuta😂😂,Wewe ni kachizi fresh ujue? Na sisi tumegoma kutagiwa mwishoni![]()
Yes; kufiwa kusiwe portion yako.Najua sio mimi, but huenda kuna mtu anataka kusepa kwenda homunimaana wimbo umekuja ghafla rohoni mwangu na strong feeling
Dah umeanza kunipa na mimi wasiwasi ,,Najua sio mimi, but huenda kuna mtu anataka kusepa kwenda homuni 😊😊😊 maana wimbo umekuja ghafla rohoni mwangu na strong feeling
Ewaaa! Niko hivyo, sema pia niko na utani mwingiAaah si nakufahamu![]()


Waambie haoMuacheni mtoto wa watu adekeee ☺️☺️☺️☺️
Amekuwa na muonekano wa kilokole yaani kwa kweli hadi mimi ananikosha huu mwaka.Brod darling, week hii upo msweeet
Muacheni mtoto wa watu adekeee![]()
Haya ni maneno ya wakosaji🤣🤣FA sio kipaumbele chetu bwana we!![]()


Akiniweka mwisho namsuta,
Si aliacha kunitag nikamsuta,sasahivi ananiweka mwishoni,,sipendi unyonge![]()
Amekuwa na muonekano wa kilokole yaani kwa kweli hadi mimi ananikosha huu mwaka.
😂😂😂😂Vi-last born ni changamoto sana aisee
Come like a rushing wind (come like never before) 😊😊Dah umeanza kunipa na mimi wasiwasi ,,
Kuna kaupepo kametukalia vibaya,,,ila Mungu ni mwaminifu.
Mchawi amtamani nani ushindwe🤣Nyie mnan'aa nga'ari mnapendezeana lazima wachawi wawatamani 😁😁😁
Kuhusu hilo ondoa shaka Chakorii, tupi serious, wana mwanza tumempa zawadi na maagizo yote bwana T 1990 ELY alafu kama ujuavyo hakunaga watu wa kwetu walio janjanja.. tukisema yes ni yes 😊😊😊Unajua nitakudai ohoo