Selfika na JF: Snap it. Show it

Watanzania bwana,umeulizwa swali badala ya kujibu na ww unauliza swali?!...
Usipende kukurupuka mkuu,, hebu kaangalie tena vizuri hilo swali ulimuuliza nani..

Au ulitaka mimi ndiyo nimjibie?? Naona ndiyo umekurupuka kutoka usingizini halafu ukanijibu ukiwa bado una wenge!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…