Ole wako!!!Hali ya hewa inahamasisha kuchoma mahindi huku tumelizunguka jiko eeh. Raha sana.
Tufurai jioni basi.
Real picLike no otherView attachment 1229895
SiendiiiiiOle wako!!!
Badala ukatoe posa unaniita mimi vichochoroni[emoji23][emoji23][emoji23].Acha zako [emoji35][emoji34]
Mie kabati, kusogea hadi mwenye nyumba awe anafanya general cleanliness.
We Si unajifanya mjanja?Acha zako [emoji35][emoji34]
Posa kwanza na bahasha ilotuna. Sio ananidolishia tu mabunda yake wakati nimechacha mbaya[emoji134][emoji134][emoji134]SiendiiiiiBadala ukatoe posa unaniita mimi vichochoroni[emoji23][emoji23][emoji23].
Sitoacha kukuharibia hadi ujiongeze.Kausha basi unaniharibia ujue
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kichwa chako kaone kuleMwenyewe dada!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kichwa chako kaone kule
Umevuta bangi wakati nilikukataza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mefanya nini lakini mimi jamani!!
Umeitoa Telegram group naliweka kapuni[emoji23]
View attachment 1227969 Mvua hizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umevuta bangi wakati nilikukataza
Hadi wewe umeona piaYani wewe lazima utakuwa ni mrembo sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we endelea na hizo bangi zako uone namna misuli inavyotunishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi unaanzaje kunitunushia misuli eti jamani dada