Igunga ni
Kuna totoz za kiburushi toleo la mwisho
Kama shilole hivi
Sema wamachame wamejazana sana sasa hivi
Biashara ya mpunga na kuuza vidawa vya mifugo na zile baridi
Sura nzuri tako hakuna
Pale kagongwa wanyambo kama wote
Usiku tu panakuwa bien
Mchana utadhani maji yamekatiza pale jangwani