Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,764
Mzee wa churaaaπSnap it.Show itπππ
View attachment 2067436
My brother just utani tu πππMkuu
Mbona mimi sio threat kwako
Jiamini bhana
Narudia mie domo zege
Nakula kwa macho
Hivyo tu
Kesho jioni nitakuwa singida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wigelekelo unanichekesha.. tusingiliane mawimbi tu.. ukija mwanza
Igunga kuna lodge flani kapo center pale jina limenitoka kuna vitoto vya kinywamwezi shida sana, ilikuwaga lazima niweke kituo.. ππππKesho jioni nitakuwa singida
Nitalala ama nitaenda kusinzia igunga
Naelekea magharibi huko
Loji[emoji1787]Igunga kuna lodge flani kapo center pale jina limenitoka kuna vitoto vya kinywamwezi shida sana, ilikuwaga lazima niweke kituo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kale ka lodge bwana kana jakuzi.. alafu kapo igunga hiyo.. kulikuwa na mtoto mmoja kama wa mwambao wa plani.. huyo aaaah! kidogo nihamie igunga πππLoji[emoji1787]
Nikagundue nini
Lake oil pale naupunguza alfajiri
Nasepa
Yuko Bomba kabisa mzee wa hesabuMsalimie Eze
πππππ tamuuu hiyo kama unavyo onekana ulivyo mtamu
Aisee...huu mwaka mtu afanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23]iwekwe katika agenda za mwaka!Usiku mwema wana selfika![emoji124][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!View attachment 2067513
πππππππ Paka leo tarehe 03, sijachafuau ubao kwa kufanya matusi.. nasonge mbele tu.. ikipigwa parapanda amabao paka leo hatujafanya natoka kibabe sanaaa nitavimba kama cobra
Aisee...huu mwaka mtu afanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23]iwekwe katika agenda za mwaka!
Sis darling....πBrod darling.........
Unapga juis[emoji482]View attachment 2067534
Weekdays...Unapga juis
Wewe palladino kuja hapa[emoji482]View attachment 2067534
Ni wateule pekee watoto wa kiumeni ndio huwa tunaifunga wolves...Unapga juis
Tujadili kwanza kipigo mlichopewa na wolves dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Weekdays...
Igunga ni [emoji3533]kale ka lodge bwana kana jakuzi.. alafu kapo igunga hiyo.. kulikuwa na mtoto mmoja kama wa mwambao wa plani.. huyo aaaah! kidogo nihamie igunga [emoji23][emoji23][emoji23]