Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivii, usingizi wako, daktari wako, kipenzi chako, laazizi wako na mama watoto wako akapost hivyo unavyoshauri, halafu mwanaume mmoja wa mtandaoni akamtumia hiyo 30k, how would you feel about it mkuu Hazard.?

Tunatofautiana sana, wife wangu hawezi kupiga hiyo picha awe peke yake au beach hata iwe ufukwe wa wapi hawezi kwa vile anajua kitakachotokea baada ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…