Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi kwa kua nimeona nimeridhika ,usiporidhika kidogo hata kikubwa huridhiki, lakini kizuri kula na wenzio aisee, ikupendeze urudie tu
Kipi ni kipi mkuu! 😳Irudiweeee isirudiweee??! Mpaka nimehisi usingizi 🚢🚢🚢🚢😴😴😴😴
 
Unao muda?
Basi hongera.

Ila mimi nakuambia muda huo wa kucheza na shetani hauna..ndio muda huohuo Mungu anakuhitaji katika kazi zake.
Wakati nikienda kanisani

Wale wahubiri walisema Yupo

Sijawahi kumuona

Naamini ipo siku nitakutana nae
 
Hakika nimependa colour, sijui ndio wanasema ya mtume sijui
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…