Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Jan 1, 2022 #131,181 Jack Palladino said: Mwananchi... Click to expand... Naam mkuu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Jan 1, 2022 #131,182 Mzigua90 said: ...View attachment 2065559 Click to expand... Yanga😍 Happy new year dada mzuri
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Jan 1, 2022 #131,183 Saint Anne said: Yanga Happy new year dada mzuri Click to expand... Happy new year love
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Jan 1, 2022 #131,184 Jack Palladino said: Mwananchi... Click to expand... Dada mzuri kama huyo halafu kizuri zaidi ni Yanga. Mungu atupe nini Yanga😂
Jack Palladino said: Mwananchi... Click to expand... Dada mzuri kama huyo halafu kizuri zaidi ni Yanga. Mungu atupe nini Yanga😂
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jan 1, 2022 #131,185 Shimba Ya Buyenze said: Kusema kweli hiyo rangi ya mtume kwetu ni changamoto sana. Siku nikija huko uliko sijui itakuwaje. Mwaka mpya mwema mkuu na wapendwa wako. You have a very nice family. Mungu Awabariki Click to expand... Amen Mkuu. Mwaka 2022 ukawe wenye heri! Baraka, upendo, amani, furaha na mafanikio viongezeke kwako na wote uwapendao. Your browser is not able to display this video.
Shimba Ya Buyenze said: Kusema kweli hiyo rangi ya mtume kwetu ni changamoto sana. Siku nikija huko uliko sijui itakuwaje. Mwaka mpya mwema mkuu na wapendwa wako. You have a very nice family. Mungu Awabariki Click to expand... Amen Mkuu. Mwaka 2022 ukawe wenye heri! Baraka, upendo, amani, furaha na mafanikio viongezeke kwako na wote uwapendao. Your browser is not able to display this video.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 1, 2022 #131,186 Saint Anne said: Ndiyo. Ngoja niwanyanyase watu na picha yako Ambao hawajaona kazi wanayo. Click to expand... Na kwa kweli unatunyanyasa. Hata tunaoomba kuja PM kwako kufuatilia hiyo picha wala hujibu dah! Yaani sijui nimeikosaje wakati nimetagiwa kabisa. Mwaka huu unaanza na majuto ya kiboya sana. Sijapenda!
Saint Anne said: Ndiyo. Ngoja niwanyanyase watu na picha yako Ambao hawajaona kazi wanayo. Click to expand... Na kwa kweli unatunyanyasa. Hata tunaoomba kuja PM kwako kufuatilia hiyo picha wala hujibu dah! Yaani sijui nimeikosaje wakati nimetagiwa kabisa. Mwaka huu unaanza na majuto ya kiboya sana. Sijapenda!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,187 Shimba Ya Buyenze said: Na kwa kweli unatunyanyasa. Hata tunaoomba kuja PM kwako kufuatilia hiyo picha wala hujibu dah! Yaani sijui nimeikosaje wakati nimetagiwa kabisa. Mwaka huu unaanza na majuto ya kiboya sana. Sijapenda! Click to expand... Mwingine nani aliyeiona jamani??? Doh watu waliisubiria kwa hamuuu!!!😂
Shimba Ya Buyenze said: Na kwa kweli unatunyanyasa. Hata tunaoomba kuja PM kwako kufuatilia hiyo picha wala hujibu dah! Yaani sijui nimeikosaje wakati nimetagiwa kabisa. Mwaka huu unaanza na majuto ya kiboya sana. Sijapenda! Click to expand... Mwingine nani aliyeiona jamani??? Doh watu waliisubiria kwa hamuuu!!!😂
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 1, 2022 #131,188 mahondaw said: Mwingine nani aliyeiona jamani??? Doh watu waliisubiria kwa hamuuu!!! Click to expand... Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita?
mahondaw said: Mwingine nani aliyeiona jamani??? Doh watu waliisubiria kwa hamuuu!!! Click to expand... Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,189 Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Click to expand... Hahaa... kasema ilikua jaribio Naamini nyingine zitafuata msukuma relaxx .. kweli ulipania kumuona ma mtumishi!
Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Click to expand... Hahaa... kasema ilikua jaribio Naamini nyingine zitafuata msukuma relaxx .. kweli ulipania kumuona ma mtumishi!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,363 Jan 1, 2022 #131,190 Mzigua90 said: ...View attachment 2065559 Click to expand... Dada wa mimi unakera! Kutufunga leo ndio imekuwa nongwa!!
Mzigua90 said: ...View attachment 2065559 Click to expand... Dada wa mimi unakera! Kutufunga leo ndio imekuwa nongwa!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,191 Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita? Click to expand... Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!!🤸🤸
Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita? Click to expand... Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!!🤸🤸
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,192 Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita? Click to expand... Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!! My God is living!🤸🤣✌️🤸
Shimba Ya Buyenze said: Eti picha ya Mama Mchungaji imenipita. We ulisikia wapi? Sikubali. Nitapambana mpaka niipate wallahi! Nilikuwa nataka kuja kwako kumbe hata ww imekupita? Click to expand... Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!! My God is living!🤸🤣✌️🤸
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,363 Jan 1, 2022 #131,193 Wale mnaotudengulia humu! Mnatakiwa mjue jana tu kuna wengi wameturn 18! Kazi kwenu!!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 1, 2022 #131,194 mahondaw said: Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!! My God is living! Click to expand... Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ...
mahondaw said: Nani apitwe thubutuuuu!! Mungu yu upande wangu sikuzote!! My God is living! Click to expand... Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ...
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,702 Reaction score 3,553 Jan 1, 2022 #131,195 Riverwood Bunju. Anyone here?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,196 Hahahaaa... Kasema Lilikua jaribio I hope more fotos will come.... Ulizingua siku ya mechi ya mnyama na mwananchi nilikuita sana pm ! Shimba Ya Buyenze said: Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ... Click to expand... Shimba Ya Buyenze said: Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ... Click to expand...
Hahahaaa... Kasema Lilikua jaribio I hope more fotos will come.... Ulizingua siku ya mechi ya mnyama na mwananchi nilikuita sana pm ! Shimba Ya Buyenze said: Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ... Click to expand... Shimba Ya Buyenze said: Sema nawe PM yako imefungwa dah! I give up kumwona Mama Mchungaji ... Click to expand...
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 Jan 1, 2022 #131,197 Cocacola is wishing you a happy new year 2022
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 1, 2022 #131,198 mahondaw said: Hahahaaa... Kasema Lilikua jaribio I hope more fotos will come.... Ulizingua siku ya mechi ya mnyama na mwananchi nilikuita sana pm ! Click to expand... Haina neno Boss Lady. Bila shaka Mama Mchungaji ataselfika tena siku za karibuni. Mungu Atuweke hai tu. Mengine yote madogo mpendwa
mahondaw said: Hahahaaa... Kasema Lilikua jaribio I hope more fotos will come.... Ulizingua siku ya mechi ya mnyama na mwananchi nilikuita sana pm ! Click to expand... Haina neno Boss Lady. Bila shaka Mama Mchungaji ataselfika tena siku za karibuni. Mungu Atuweke hai tu. Mengine yote madogo mpendwa
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 1, 2022 #131,199
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 1, 2022 #131,200 Shimba Ya Buyenze said: Haina neno Boss Lady. Bila shaka Mama Mchungaji ataselfika tena siku za karibuni. Mungu Atuweke hai tu. Mengine yote madogo mpendwa Click to expand... Amina Amina!
Shimba Ya Buyenze said: Haina neno Boss Lady. Bila shaka Mama Mchungaji ataselfika tena siku za karibuni. Mungu Atuweke hai tu. Mengine yote madogo mpendwa Click to expand... Amina Amina!