One day nitakununulia kreti nzima then mi nikuangalie ukiwa unazinywa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Wewe bana,mie napenda Miranda ndio ulevi wangu
Heaven Sent wallahi leo kwa mara ya kwanza nimekuota umetuma picha humu! Yaani ile nimeamka tu nimekuja mbio selfika nikidhani Roho Mtakatifu amenionesha usingizini ili niwahi kuja kuona picha yako nisipitwe! [emoji3064][emoji3064]
Najua unaweza hisi utani ila niko serious kabisa Mungu shahidi yangu siwezi msingizia kwenye hili! Tena nimeota umetupia full umevaa gauni jekundu hujajiziba na emoji ila tu uso umeangalia nyuma so haukuonekana vizuri! [emoji853][emoji853]
Hahahaa... Sijapiga mpya msukuma!Boss lady. Moja tu ya kuanzia mwaka hureeee [emoji91][emoji91][emoji91]
Nisubirie?
Watu mnalijua Neno mpaka basi [emoji91]Imagine tunasoma Warumi 8
Mtumishi; selfika!Hahahhahaa hapo nilikuwa nikukonyeze; mdogo angu mbona vile tena jamani". Nakutana na comment hii tena. Mbona gauni jekundu sina sasa?'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama Mchungaji. Mpaka watu wanashukiwa ndotoni jamani. Hebu fanya uselfike pulizi [emoji1545][emoji1545]
Nasubiria uselfike Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwani hujalala Mtumishi?
Nasubiria uselfike Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kalale kwanza, ukiamka utaikuta
Kwema lakini mkuuAmina
Kwema lakini mkuu
Nasubiria uselfike Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ndiyo tumemaliza kupiga mafataki ya mwaka mpya. Nitalala soon ila naogopa nisije nikalala halafu ukaselfika nikapishana nayo...
Ngoja nikomae kidogo niangalie upepo
AminaMungu ni mwema mpendwa! Hope nanyi mko poa!
I'm happy to know that rafiki!Amina
Binafsi na kipekee kabisa namshukuru MUNGU niko poa/salama kabisa
Oya vipi kijana wangu ( chawa wangu), umepata wapi kibali cha kuchati na warembo kama hao?[emoji115][emoji23][emoji23][emoji23]Amina
Karibu