Nawe pia Anne🥰🥰Happy new year 2022.
Wale wote tuliolia nwaka uliopita,naomba kwa Mungu mwaka huu ukawe wa ushindi kwetu.
Baraka za Mungu ziwe pamoja na kila mmoja n wapendwa wenu wote.
Mungu akawalinde wote ,,asiwepo yeyote wa kuishia njiani.
🙏🙏Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.
Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema. Tufanye mazoezi na kula vizuri.
Ng'wabeja (Asanteni)
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
.....Msusahau kuselfika wapendwa 2022 selfie kwakwenda mbeleeee!!!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]View attachment 2064531
we hutaki kufichwa?
Nalifikiri upo mkesha kanisani huko
Selfikaaaaaaa..... Heri ya mwaka mpya rafiki...2022. Ukawe na baraka furaha amani shibe tabasamu na mafanikio lukukiiiii[emoji3577][emoji3577].....
Shukrani Rafiki ...nitaselfika tu usijariSelfikaaaaaaa..... Heri ya mwaka mpya rafiki...2022. Ukawe na baraka furaha amani shibe tabasamu na mafanikio lukukiiiii[emoji3577][emoji3577]
Hahaha... Ndio Sitakiiiiiii😜🤸we hutaki kufichwa?
"Wakusanyikapo wawili watatu kwa Jina Langu,nami nipo katikati yao"Nalifikiri upo mkesha kanisani huko
Aah! kumbe upo tu hapo sebuleni
Thank you rafiki, heri ya mwaka mpya piafinancial services nakutakia mwaka mpya mwema wenye mafakio tele
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ahsante, heri ya mwaka mpya pia mkuu MtuNawatakia Heri Ya Mwaka Mpya wote...Bonna Annee
AmenHappy new year my friend Kijana wa hovyo hovyo
Bro Extrovert
Kiranja Mkuu mr Mshana Jr
Cha mideko Depal
Mdada mpole Heaven Sent
Mzee wa busara Shimba Ya Buyenze
Rafiki Karma cocastic mawardat mahondaw geraldincredible reymage Tinsley
Mama mchungaji Saint Anne na wengine wengi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
ahsante Rafiki ...wanasemaga "tumeuona"Ahsante, heri ya mwaka mpya pia mkuu Mtu
Thanks rafiki heri ya mwaka mpya 2022 wewe na familia yako Mkuu! 22 ukawe mwaka wa mafanikio furaha na amani tele mpendwa!Happy new year my friend Kijana wa hovyo hovyo
Bro Extrovert
Kiranja Mkuu mr Mshana Jr
Cha mideko Depal
Mdada mpole Heaven Sent
Mzee wa busara Shimba Ya Buyenze
Rafiki Karma cocastic mawardat mahondaw geraldincredible reymage Tinsley
Mama mchungaji Saint Anne na wengine wengi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app