Bado dakika chache kabisa tuuingie mwaka mwingine wa 2022 ( A phenomenal act) Naombeni tuwakumbuke hawa
Wagonjwa wote walioko mahospitalini na majumbani
Mahabusu wote
Wafungwa wote
Yatima na wajane wote
Wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia
Wasafiri wote
Na wote wanaopitia nyakati zozote ngumu iwe madeni, ajira mahusiano nknk
Tusisahau kujiombea pia