Mwaka Mpya Mwema Wapendwa. Mungu Atulinde na kutuongoza kwa mwaka huu mpya unaoanza. Tuliokosana tukasameheane na kuanza upya. Pia tukumbuke kuwasaidia masikini, wajane, wagonjwa na wote wenye uhitaji. Hiyo ndiyo dini ya kweli.
Kwa wahenga wenzangu; Mungu Azidi kutuimarisha na kutupa afya njema.
Blessings
View attachment 2064424