Mpaka ushindwe ila sio ubebe chupa nzima😅ati ukafungulie kwenu huo ni uhujumu bata...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huko ni kukomoana sasa...sisi ambao zikitushinda huwa tunabeba itakuwaje sasa[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi hapo dada [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Khai khai [emoji1787]Mpaka ushindwe ila sio ubebe chupa nzima[emoji28]ati ukafungulie kwenu huo ni uhujumu bata...
Hukawilii kuchukulia point 3 mzinga wetu ukajidai zawadi ya new year kwa msela kumbe umevusha bottle ya wajuba[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka ushindwe ila sio ubebe chupa nzima[emoji28]ati ukafungulie kwenu huo ni uhujumu bata...
Hukawilii kuchukulia point 3 mzinga wetu ukajidai zawadi ya new year kwa msela kumbe umevusha bottle ya wajuba[emoji28]
Kuna mtu ameniita mahali mdogo wangu nikamwambia nikutume..hataki..anataka twende wote..Wapi hapo dada [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Smirn off hagusi yule...Vitu vyake hata wewe unaweza usionje[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ukaona kahennessy ndiyo ka kunitembeza mimi kwa magoti [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Habari yangu njema/salama kabisa mkuuChief T 1990 ELY habari? Natumai umepokea toka kwa Ramla Khamis.
Eeh kama zawadi zako ni boxer na vest lazma awaze kunae namna! Manzi angu ananipaje VSOP Cognac[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjuba mwenyewe anaweza kushtuka akiona ule Mzinga.. Labda ile ndogo[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri jamaa hatumii haya Makitu..Eeh kama zawadi zako ni boxer na vest lazma awaze kunae namna! Manzi angu ananipaje VSOP Cognac
Hahahahah mwamba ni muefeso nini?😅 Chalii ya Agano jipyaUzuri jamaa hatumii haya Makitu..
Kwa hiyo nikibeba naenda kuweka kwenye fridge ipendeze[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Kuna mtu ameniita mahali mdogo wangu nikamwambia nikutume..hataki..anataka twende wote..
Nimemwambia kabisa huna shughuli ndogo.. atawezana? Akasema angetupiga Hennessy za kutosha..nimemwambia Karma mambo yake anachanganya[emoji23][emoji23]Hiyo Hennessy kwake ni soda[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks T!🤗
I gues wanaona tutafaidi sana 😕🥴
Nawe tupia basi......😊
Siyo Muefeso wala Born Again...Hahahahah mwamba ni muefeso nini?[emoji28] Chalii ya Agano jipya
Siyo Muefeso wala Born Again...
Ni hatumii tu.. Ila huwa tunaambatana naye maeneo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana umefeli kutimba leo
Msimu wa kufichama na wajuba huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma mwenyewe Leo hapatikaniki...Next time Jamaa atakupa Mrejesho[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app