Selfika na JF: Snap it. Show it

Boxing day ni siku ya kufanya nini soulimeti? Mimi nafikiri ni siku ya masumbwi ama? [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂 yes salimeti kama hujapewa zawadi yoyote kwako itakua siku ya masumbwi tu mixer mitama maana huna faida😂, ila kama ukiletewa hiyo flower kama ya Mahondaw hiyo kwako tunaita happy boxing day😂
 
[emoji23][emoji23] yes salimeti kama hujapewa zawadi yoyote kwako itakua siku ya masumbwi tu mixer mitama maana huna faida[emoji23], ila kama ukiletewa hiyo flower kama ya Mahondaw hiyo kwako tunaita happy boxing day[emoji23]
Asante kwa ufafanuzi. Lakini siyo kweli eti usipopewa zawadi ndo huna faida. Faida unajipa mwenyewe tu na Mungu wako. Kutegemea kupewa faida na wanadamu ni kujiweka mtegoni kisaikolojia ila nimekuelewa sana!

Happy Boxing Day & New Year soulimeti [emoji1545][emoji1545]
 
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2957][emoji1732][emoji1732]
Acha tu rafiki bosi barikiwe maradufu kwakweli!!! View attachment 2058861
Ukiwa boss lady bila shaka vitu kama hivi unakuwa ushavizoea tu. Na kwa level yako hayo "maua" hayakupaswa kuwa ya kienyeji (madafu)...kama ulivyofanya kwenye birthday fulani uliyowahi kum-wish bosi fulani humu. Nakuaminia boss lady [emoji122][emoji122]
 
Ndugu yangu ilikuwa afe.. Hardtop ilichomoka tyre na propeller shaft ikamtoa road akacheza nayo kwenye mapori umbali wa zaidi ya mita 100 mpaka ikagota kwenye mnazi bila kupinduka.. Tulikuwa nyuma yao umbali wa km 20 hivi
Aisee poleni sana. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ni kweli Salimeti ila huwa tunatania tu hii boxing day tuliofungua milango home badala ya zawadi. Wote tuna faida mbele za Mungu.🤔

Happy new year in advance too Salimeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…