Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee pia ulivoumwaga vile ndo ilikua km hivi? Yaan hapa nilipo nawaza vitu vingi, hata sielew yaan kwa kweli, nabaki kuogopa tyuuh.
Acha kuogopa tyuuh. Nenda hospitali wakakucheki ohooo!

Kama ni Omicron au Delta utatoboa tu ila nenda hospitali kwanza kwa sababu inaonekana kweli unaumwa.

Mungu Akuponye haraka aisee...
 
Alikataa tangu mwanzo.
Kipindi nimepata matatizo nilimuomba anifundishe,alikataa katakata!

Mawazo ya kunywa yanapotea,Mungu ni mwaminifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…