Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa haya mambo siyo ya kubishia kama huna uhakika mdogo wangu utaaibika mbele za watu [emoji28][emoji28]
 
Asee mambo yalikuwa magumu sn kwangu.Nashukuru naendelea vizuri.
Jf ilikuwa nachungulia Tu Kwa vile nimezoea
Ilikuwa ngumu hivyohivyo kwa wote[emoji1787]
Ni vile wengine tunajitoa tu ufahamu..hata tukigongwa vipi na homa hatupotei hewani afe kipa afe beki.


Pole mkuu,
Mungu akufanyie wepesi upone haraka[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…