financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Happy belated birthday to my home gal, mdada mstaarabu yaani the real Heaven Sent , uishi miaka mingi🥰Happy birthday to our beautiful Sister Heaven Sent [emoji173][emoji173]
Hivi ulishawahi kumpenda mtu halafu ukakosa namna nzuri ya kuandika na kumwambia???
Nashindwa hata niandike nini,,,ila Mungu na akutunze[emoji120][emoji120][emoji120]
Mmesifiwa halafu mnaharibu Tena. Wife material anatakiwa awe anakunywa soft soft tu labda zile za kuongeza lubricant
We Gelard wewe mbona unafanana na ex wangu wa primary 😜[emoji2957]View attachment 2052477
Mmh kafanyaje tena huyu?
Nimesimama hapo kimara hadi mwendokasi wakanifukuza[emoji23]Jana nimekusubiri adi nimechoka nikaamua niende zangu kufakamia pilau
Kimaro[emoji91]Haya hayaaView attachment 2053914
Kijana wa hovyo umehamia kwenye kuhubiri injili?🙄Haya hayaaView attachment 2053914
Duh KwaniniThe answer is "C"
Dah haya nisamehe mimi mkuuKanyeshewa na mvua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wife materials mnaishi....View attachment 2053822
Tunagwida tu na wife materials
Mwenye taasisi zakeDah haya nisamehe mimi mkuu
[emoji38]Huyu si ni Monica wa ofisi ya msajili wa vyama🥱Jokes.
Ndaga fijo nkamu. Na wewe uendelee kuwa kapole hivyohivyo, usituige dada zako hapa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Happy belated birthday to my home gal, mdada mstaarabu yaani the real Heaven Sent , uishi miaka mingi[emoji3059]
Nyuma ni fupi kiasi japo pembeni na katikati zipo level.Kama ni hicyo zinyoe ziwe sawa,hapo zitakuwa mbele ndefu halafu nyuma ni fupi