Selfika na JF: Snap it. Show it


Unachanganyikiwaga na filter za Instagram?
 
tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..

Njoo selfika ukutane na vidole vyake ndio utajua hujui kufikiria
Kuona vidole tu ni ishara tosha kabisa kujiaminisha wewe kuwa mwenye vidole ana sura ya abdala kichwa wazi?


We jamaa bhana
 
COVID ATTACK LEVELS

Level 1 - Inatibika
Mwili kuchoka
Maumivu ya mwili mzima na viungo
Kichwa kuuma & Kizunguzungu

Level 2 - Inatibika
Kukosa hamu ya kula
Kushindwa kunusa harufu
Homa
Kikohozi
Kukosa pumzi (Kupumua kwa shida)

Level 3 - Hatari na ngumu kutibika
Kifua kubana
Makohozi yenye damu au njano nzito
Kushindwa kupumua (Kukosa hewa - unawekewa oxygen)
Homa kali
Mapafu kujaa maji (Pneumonia)

Kwa Level 1 & Level 2 dawa zifuatazo zimewasaidia wengi:

Azithromycin, Amoxillian&Clavunate Potassium, Junior Aspirin,
Ped zinc,
Vitamin C na
Prednisolne.

Tusisahau:
Tangawizi, Malimao na Kujifukiza.
🧄🧅

Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.

Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.

Ambavyo ni:

Limao- 9.9pH

Chenza- 8.2pH
Parachichi- 15.6pH

Vitunguu - 13.2pH🧄
Maembe - 8.7pH

Tangerine - 8.5pH
Mananasi - 12.7pH

Dandelion - 22.7pH
Chungwa - 9.2pH


Unajuaje kuwa una coronavirus?


Code:
1. Kuwashwa kwenye koo
2. kukauka koo
3. Kikohozi kikavu 
4. Joto kubwa
5. ```kupumua kwa tabu

kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa


Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…