Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lolView attachment 2052521
Usiku wa kuamkia leo nimelala chini.Inaweza kua kweli yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2052517
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nlipoona hiyo memes nkawaza n wee kabisa. LolUmejuaje aiseee[emoji16]
Nipo nashushia juice hapa[emoji1787]View attachment 2052525
Akija hapa atawavuruga wazazi wa akina Junia,Junia mwenyewe na wote wanaomtetea Junia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko wapi, aje bhana atoe maoni yake.
Nilihisi nakufa usiku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mimi kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nlipoona hiyo memes nkawaza n wee kabisa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hutaki kunyweshwa juice?Huyu mimi kabisa yaani[emoji23]
A wapi kwani nimekuwa mlemavu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hutaki kunyweshwa juice?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ndo ule uzi wa kusema alimfinya had junior akawa muoga? Nliusoma hahahAkija hapa atawavuruga wazazi wa akina Junia,Junia mwenyewe na wote wanaomtetea Junia.
Atawavuruga na kiingereza chake kile[emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya fanya niwe MC mie.A wapi kwani nimekuwa mlemavu[emoji16]
Safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya fanya niwe MC mie.
Ila dar joto limezidi mno, afadhar hata fen ipo, vingnevyo unakufa hiv hiv. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilihisi nakufa usiku.
Ikabidi nilale chini kwenye tiles[emoji119]
Huyu mwamba akirudi MMU yote inatikisika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ndo ule uzi wa kusema alimfinya had junior akawa muoga? Nliusoma hahah
Who is dead?View attachment 2052484
Vile vipangaboi havifui dafu.Ila dar joto limezidi mno, afadhar hata fen ipo, vingnevyo unakufa hiv hiv. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utaumwa kichomi cc.Vile vipangaboi havifui dafu.
Angalau ukipuliza kwenye tiles zinapoa na unaweza kulala.
Leo kama hali itakuwa kama jana basi shughuli ni ileile ya kulala chini.
Asee issue ya mafua na homa tayari imefika mkoani. Mimi mwenyewe najiskia abnormal.Uncle wangu ananiuliza nna excuse gani ya kutotaka kwenda home for Christmas....sijui nimtumie hii [emoji16][emoji16]
Naongezea tu I really care about you guys! [emoji849]