Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jioni mjini, asubuhi na mchana home..

IMG_20211220_184946.jpg
 
Unafuta haraka mno. Yaani nimeacha simu kwenye mkweche wangu na kuingia dukani kununua K-Vant dakika 2 tu nakuta picha ilishawekwa na kufutwa. Siyo fair bana kha!

Jitahidi angalau iwe nusu saa hivi kabla hujafuta! [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona imekaa sana almost 45 mins!
 
Back
Top Bottom