Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe wasema.
Nikiweka haya yafutayo itakuwa wew ndiye wasema.


Mwanzo 1
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.


Zaburi 115
16 Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu.
 
Viumbe kama Dinosaurs ambao walikuwepo kabla ya viumbe wengine waliumbwa na nani? Kila mtu anaamini anachoona ni sawa kwake. Naamini katika evolution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…