cc leo una nn wee? 180mins non stop kwa nguvu gani sasa?
Sema labda walikua wanafanya fair play, after few mins game, hapo sasa inategemea mshedede una matter vipi ktk sense ya kushika mawimbi haraka,
mie sina akili kabisa, naongea hivi kuhus lect hahahah.