Selfika na JF: Snap it. Show it

IMEKUWA KATIKA JINA LA BWANA.
 
Nahisi kama huo mkono wako ukinipiga kofi nitazimia wiki! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Acha kuwaza makofi utadhoofisha immune system yako bure kha! [emoji16]

Subiri upone kwanza [emoji16]
 
Kwanza namuogopa kama huyo ndio mjukuu wako na mkono huo!! Sina shida nae. Nilikuwa naongelea yale makofi ya mahaba! Sio ya penzi korofi [emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
IMEKUWA KATIKA JINA LA YESU.

Amen[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Halafu Mama Mchungaji. Hebu kata mzizi wa fitina. Kuna siku kweli utaselfika hapa au ni miyeyusho tu deile?

Kusema kweli tumevumilia tumechoka sasa. Kama vipi weka tu hata picha za vichaka na swimming pools za Nguzo Camp zitatosha [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Nilichanganya madesa kidogo. Nilifikiri unamwongelea mjukuu wangu. Nilipong'amua kosa langu nimerudi na kurekebisha post yangu...

Yote kwa yote nakushauri uepuke makofi ya aina yo yote mpaka utakapopona sawasawa [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…