Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,181 Grahams said: Kuna watu wana lipsi jamani Natamani ningekuwa Mimi hiyo Chupa Click to expand... Nitoe chupa,leta dole gumba
Grahams said: Kuna watu wana lipsi jamani Natamani ningekuwa Mimi hiyo Chupa Click to expand... Nitoe chupa,leta dole gumba
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 17, 2021 #126,182 Yaani msosi nabaki nautazama tu! Homa kali mawardat njoo uniuguze babu yako kakubali
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,698 Dec 17, 2021 #126,183 mawardat said: Nitoe chupa,leta dole gumba Click to expand... Hebu kuwa serious Mkuu kuhusu hili, utafanya niwahi ndege ya Jioni kukuletea hilo Dole Gumba langu 😋🙈🏃🏃
mawardat said: Nitoe chupa,leta dole gumba Click to expand... Hebu kuwa serious Mkuu kuhusu hili, utafanya niwahi ndege ya Jioni kukuletea hilo Dole Gumba langu 😋🙈🏃🏃
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,184 Emiir said: View attachment 2047768 Yaani msosi nabaki nautazama tu! Homa kali mawardat njoo uniuguze babu yako kakubali Click to expand... Pole Sana,shida nini?
Emiir said: View attachment 2047768 Yaani msosi nabaki nautazama tu! Homa kali mawardat njoo uniuguze babu yako kakubali Click to expand... Pole Sana,shida nini?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 17, 2021 #126,185 Heaven Sent said: Nitawatawanya kwa njia saba Click to expand...
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,186 Grahams said: Hebu kuwa serious Mkuu kuhusu hili, utafanya niwahi ndege ya Jioni kukuletea hilo Dole Gumba langu Click to expand... Fanya uwahi kuleta hilo dole gumba bana
Grahams said: Hebu kuwa serious Mkuu kuhusu hili, utafanya niwahi ndege ya Jioni kukuletea hilo Dole Gumba langu Click to expand... Fanya uwahi kuleta hilo dole gumba bana
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,435 Dec 17, 2021 #126,187 Lizzy said: Yes ma'am ☺☺ It's a full house over here 🙂 Click to expand... Beautiful family. Happy Holidays and God Bless.
Lizzy said: Yes ma'am ☺☺ It's a full house over here 🙂 Click to expand... Beautiful family. Happy Holidays and God Bless.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 17, 2021 #126,188 Emiir said: View attachment 2047768 Yaani msosi nabaki nautazama tu! Homa kali mawardat njoo uniuguze babu yako kakubali Click to expand... Wimbi hili limeupiga mwingi
Emiir said: View attachment 2047768 Yaani msosi nabaki nautazama tu! Homa kali mawardat njoo uniuguze babu yako kakubali Click to expand... Wimbi hili limeupiga mwingi
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 17, 2021 #126,189 mawardat said: Pole Sana,shida nini? Click to expand... Homa tuu!!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 17, 2021 #126,190 mawardat said: Pole Sana,shida nini? Click to expand... Homa ipo kuupiga mwingi mjini daslama
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,191 Emiir said: Homa tuu!! Click to expand... Pole sana,ngoja nije nikulishe babu yangu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,698 Dec 17, 2021 #126,192 mawardat said: Fanya uwahi kuleta hilo dole gumba bana Click to expand... Bahati haziji mara mbili, ngoja niwahi miye 🏃🏃🏃🏃🏃
mawardat said: Fanya uwahi kuleta hilo dole gumba bana Click to expand... Bahati haziji mara mbili, ngoja niwahi miye 🏃🏃🏃🏃🏃
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 17, 2021 #126,193 Shimba Ya Buyenze said: Naunga mkono hoja. Tena ukiselfika lile guu lako ndo uchawi utakamata sawasawa Mama Mchungaji atakuwa anaselfika deile Sharti la mganga hilo timiza! Click to expand... Bado wewe tu
Shimba Ya Buyenze said: Naunga mkono hoja. Tena ukiselfika lile guu lako ndo uchawi utakamata sawasawa Mama Mchungaji atakuwa anaselfika deile Sharti la mganga hilo timiza! Click to expand... Bado wewe tu
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,194 Saint Anne said: Homa ipo kuupiga mwingi mjini daslama Click to expand... ila kiukweli dar kina ka wimbi ka homa plus mafua
Saint Anne said: Homa ipo kuupiga mwingi mjini daslama Click to expand... ila kiukweli dar kina ka wimbi ka homa plus mafua
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 17, 2021 #126,195 mawardat said: ila kiukweli dar kina ka wimbi ka homa plus mafua Click to expand... True!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 17, 2021 #126,196 Valentina said: Bado wewe tuView attachment 2047775 Click to expand... Mamaaaaa! Kwa mkono huu Lizzy akasome!
Valentina said: Bado wewe tuView attachment 2047775 Click to expand... Mamaaaaa! Kwa mkono huu Lizzy akasome!
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,197 Emiir said: True! Click to expand... Dada yangu imemtesa sana hii hali, Nipo hapa Kampala UN,naja
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 17, 2021 #126,198 Grahams said: Bahati haziji mara mbili, ngoja niwahi miye Click to expand... Taratibu,usije angukia pua
Grahams said: Bahati haziji mara mbili, ngoja niwahi miye Click to expand... Taratibu,usije angukia pua
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 17, 2021 #126,199 mawardat said: Dada yangu imemtesa sana hii hali, Nipo hapa Kampala UN,naja Click to expand... Ndio wapi huko?
mawardat said: Dada yangu imemtesa sana hii hali, Nipo hapa Kampala UN,naja Click to expand... Ndio wapi huko?
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,698 Dec 17, 2021 #126,200 mawardat said: Taratibu,usije angukia pua Click to expand... Kwa kweli, si unajua tena Wazee mwendo wetu hasa tukipewa ofa za aina hiyo 😜😜🤸🤸
mawardat said: Taratibu,usije angukia pua Click to expand... Kwa kweli, si unajua tena Wazee mwendo wetu hasa tukipewa ofa za aina hiyo 😜😜🤸🤸