Juzi kuna sehemu nilikaa nikasema ngoja niangalie ligi ya wadogo zangu karma na Anne. Mara Sauli huyo, nyuma yake K/njaro Express na Golden Deer bampa to bampa ; Golden Deer kamu-overtake mwenzie huyo kayeya. Muda kidogo kaja zake Imani taratibu; zikapita Sauli mbili tena, G.D nyingine na magari mengine mengii. Nimeshajisahau ndiyo namuona swahiba wako Al-Saedy anajikongoja, sijui nini kilimkuta siku hiyo. Tatizo hobby ya picha sina, nakuja kukumbuka baadaye mweeeh