Selfika na JF: Snap it. Show it

Pametulia sana pale mahali mkuu, napafahamu kupitia kwa mama mchungaji
Kuna wakati nilikua na kazi ya kama wiki hivi Morogoro nikaingia jf kucheck mahali pazuri Moro nikakjtana na maelezo mazuuri ya Nguzo camp kutoka kwa Heaven Sent
Hakika sikujuta

Wow, glad to hear that you enjoyed your stay there. Nikiwa Moro huwa najitahidi nifike kule aisee, utulivu wa hali ya juu. Hukupiga mapicha nkamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…