Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah masuala ya kufokewa kama Mtoto mdogo eti kisa hujapika sijui hujaosha vyombo siyawezi kwa kweli hizo kazi nataka nifanye pale ninapojisikia mimi tu
Mimi nafanya zote tena bila hata msaada
Ila endapo nimefanya hivi labda ulitaka nifanye vile,,ukinifokea tu naacha zote.

Niliwahi zungushana na sister wangu yule ulikuja nyumbani
,akiwa mjamzito yule hukai naye hata kwa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…