Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.Mitandao yote nimetumia ila kasoro TTCL, kiukweli airtel iko vizuri upande wa vifurushi internet, tatzo mtandao wao uko slow sana.
Now natumia voda na halotel. japo naumizwq kdg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaha..leo? umetupia kumi? mmmh haya vzr..mm mpk disemba 31 usiku natupiaMkuu mimi leo nimetupia kumi na uchee Sefika wewe toka uzi uanze umegoma kabisaaa tupia hata dole gumba basiii😬😬😬
Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.
Walichokuwa wananikera TTCL ni upatikanaji wa vocha zao yaani hadi ujiunge kwa M Pesa, na hiyo huduma nayo ikajaga ikatolewa sijui hata waliishia wapi nikaachana nayo.
Haha Airtel si ndiyo huko nasikiaga wanakususia vifurushi ila mtandao utajitafutia, kwamba kama ni vifurushi tu we chukua ila mtandao utajua mwenyewe utakakoenda kuupata.
Sasa Vodacom wanatufanyia kinyume chake wanatususia mtandao 4G ila vifurushi vya bei rahisi utajua utakakovipata, mwee kama sijarudi Tigo sijui mimi japo hawa nao ni bomu.
😀😀😀kichwa kikipamba moto naandika chochote kile then nikitulia najiuliza hii kweli Comment yangu🤪Haha kuna sehemu huwa nakukuta, inabidi nisome comment tu bila ku like,najisemea mwenyewe tu mpendwa huyu ana balaa sana[emoji28][emoji28]
Kwa kweli kuna mtu alisema hii mitandao ni suala la muda tu hivyo tulia ulipo maana unaweza ukahamia mtandao mwingine nao wakapandisha vifurushi ghafla na usielewe nini kinaendelea hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpendwa hakuna unafuu kote kote ni kukaza shingo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora halotel kwa upande wangu,. Airtel unaweza kuta bundle linafikia kikomo na hujatumia,Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.
Walichokuwa wananikera TTCL ni upatikanaji wa vocha zao yaani hadi ujiunge kwa M Pesa, na hiyo huduma nayo ikajaga ikatolewa sijui hata waliishia wapi nikaachana nayo.
Haha Airtel si ndiyo huko nasikiaga wanakususia vifurushi ila mtandao utajitafutia, kwamba kama ni vifurushi tu we chukua ila mtandao utajua mwenyewe utakakoenda kuupata.
Sasa Vodacom wanatufanyia kinyume chake wanatususia mtandao 4G ila vifurushi vya bei rahisi utajua utakakovipata, mwee kama sijarudi Tigo sijui mimi japo hawa nao ni bomu.
Awe siku hiyo inshallah nitakesha popohahahaha..leo? umetupia kumi? mmmh haya vzr..mm mpk disemba 31 usiku natupia
hv we leo umetupia humu? hebu fanya kutupia kiduchu tu🙄🙄🙄🙃🙃🙃
Haha hicho kichwa kiendelee kupamba moto hivyo hivyo, kwangu burudani[emoji28]..huwa napata madini flani hivi[emoji3][emoji3][emoji3]kichwa kikipamba moto naandika chochote kile then nikitulia najiuliza hii kweli Comment yangu[emoji2957]
Voda nilitupa laini yaani buku mbili haikai data 😬😬😬Mimi nimeamua tu kupambana na furushi langu Voda [emoji53][emoji53]
Hii nzuri sana [emoji7][emoji7]View attachment 2045165View attachment 2045166
Leo nimeikumbuka watch yangu!!
[emoji8][emoji8][emoji8]
Acha uchoyo wee mjeda, yaan unahisi ukinikaribisha Jack Daniel's utafirisika, au ndo vile nina damu ya kunguni,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawakumbusha tu ...hii disemba ..unywaji bia kwa wingi unahitajika ..tusitegeane ktk hili
Vifurushi vinaweza kuwa vizuri ila bando linaisha fastaKwa kweli kuna mtu alisema hii mitandao ni suala la muda tu hivyo tulia ulipo maana unaweza ukahamia mtandao mwingine nao wakapandisha vifurushi ghafla na usielewe nini kinaendelea hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahahaha...Acha uchoyo wee mjeda, yaan unahisi ukinikaribisha Jack Daniel's utafirisika, au ndo vile nina damu ya kunguni,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko fanya fanya bas,hahahahaha...
Weeehhh sitaki hadi tukuone walau mkono tu!!hv we leo umetupia humu? hebu fanya kutupia kiduchu tu
Kwa kweli voda ni pasua kichwa ila tunakomaa tu kibishi maana maisha ya bongo bila ubishi hayaendi [emoji1][emoji1]Mimi nimeamua tu kupambana na furushi langu Voda [emoji53][emoji53]
hahahaha..rafiki hata wewe unasema hivi rafiki !!Weeehhh sitaki hadi tukuone walau mkono tu!!