Na ndoyo sababu nazileta hapa ili usisahau kabisa kama utabahatika maana si wewe tu watu wengi siku hizi tunajiunga vifurushi vya muda mrefu ama kununua vocha kwa kutumia miamala ya pesa laini
Na ndoyo sababu nazileta hapa ili usisahau kabisa kama utabahatika maana si wewe tu watu wengi siku hizi tunajiunga vifurushi vya muda mrefu ama kununua vocha kwa kutumia miamala ya pesa laini
Sure mkuu maana unaweza ukajikuta umeishiwa kifurushi muda/sehemu ambao/ambapo huwezi kununua vocha na una hela kwenye simu hivyo inabidi umalize tu juu kwa juu. So hii imenifanya nishazoea hata ambapo nina uwezo wa kununua vocha za makaratasi sinunui tena bali najiungia kwenye simu.