Kitabu cha "Wimbo Ulio Bora" nadhani kimeandikwa na Mfalme Suleimani - Mfalme Tajiri wa mali, Hekima na Wake. Nadhani hatotokea Mtu wa kuvunja RECORD yake kwenye maeneo hayo.
Unakuta Mwanamke analalamika mume wake ana michepuko anasahau Suleiman peke yake alikuwa na michepuko(Masulia) zaidi ya 700
Ila nilipata zawadi kutoka kwa kadogo kako haka (13 yrs old). Huwa kanafundisha watoto wenzie mahesabu mitandaoni huko kanapata vijisenti vyake. Proud dad nikapata dinner ya uhakika na vizawadi. Nothing like having a daughter wallahi!
I am blessed beyond measure...

Duniani hapa twapita tu...
Ajabu sasa hata hatuna uhakika na tuendako....
But again, matter can neither be created nor destroyed...
May be we are travelers in an eternal journey...to nowhere/somewhere
Ila maisha ni haya haya...
Ni lazima tuyaishi tu kwa sababu hakuna namna...
Na siku moja isiyo na jina haoooo twaenda zetu...
Kila mtu kwa ratiba yake...
Maisha...Rosa Mistika...Fumbo !!!
Yap...
From the get go the lady knows her Math & Science...and she gets paid handsomely to tutor other kids online...She is doing college Calculus now...A pediatric neurosurgeon/cardiologist in the making...and universities are already calling...
We just pray that God continue blessing, protecting and guiding her...