Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha unafikiri hawaelewi mkuu wanaelewa sana sema wanajifyatua akili tu! Eti kisa hizo Land Cruiser hazina demand kubwa sana huko Europe na North America basi ndiyo wanazidharau na kuzishusha thamani!

Sasa barabara zetu hizi watafananisha na za huko dunia ya kwanza! Kutumia masaa manne Dar-Dom si mchezo mtu anafukia matuta na rasta chap tu halafu unamchukulia poa wakati BMW sedan kwenye matuta hadi ubembeleze!
 
Kwa real experience ya gari wengi hawajawahi panda any of those cars
labda 3 series ila 5 series wachache sana wamezionja tena long trip! Hata VX-R zenyewe ila wanabishana
Yeah wengi wameishia hapo kwenye 3 series na hizi X5 tu ila wanavyowavimbia wazee wa mkonga utadhani wanaendesha M Competition au kitu gani sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…