Nishawai safari na X5 masaa 15 nilinyoosha mikono na ndo nikaamini kuwa toyota zetu ni vyombo vya usafiri. mjerumani ametuliza akili sana kwenye gari zake
Haha mie naonaga maherufi makubwa yanapendeza jina likiwa fupi mfano RRONDO ila jina likiwa refu dooh. Imagine yule interlacustrine region ajiite INTERLACUSTRINE REGION si atakuwa ni kama anatufokea sana jamani.
Au yule anayejiita JABALI LA KARNE huoni kama anatutisha eti (kidding). By the way mie hata sinaga shida na id ya mtu hata SYB nilikuwa namzingua tu na nilijua angepotezea kumbe akaamua kubadili kweli mwee jamani.