Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana mkuu, maadhimisho ya tar 01 December, siku ya ukimwi. Mie sina timu, moyo wangu mdogo sana kuumia kwa kitu ambacho siweziongeza bidii tushinde ila nafaidi maumivu.

View attachment 2029659
Ndy umebadilisha na shati kbs mkuu?πŸ˜… Natengua kauli yangu wewe siyo Simba ahaha

Tuko pamoja mkuu πŸ™
 
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu

Kutunziana aibu wapi bora nisijue kama nagongewa

Yaani pale naponiniliu mimi tena jamaa na yeye aniniliu hapo hapo

Hiiiiiiiiiiii Bhagosha
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kujiamini mkuu, naamini hadi mwanamke anauza game tatizo ni mwanaume na mwanaume hadi anauza mechi tatizo ni mwanamke... hakuna wa kumalumu mwenzake... issue ni kuweka mpila kati na kuanza upya , ili kuokoa jahazi maana pia kuachana sio issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…