Basi wacha niendelee kupambania kombe kwanza Hadi nitoboeShida na Raha mkuu wangu haipo siku hizi πππ, tuta fail hapo. Tutalala na njaaa acha mie niende na Depal wangu asee
Mkuu bila Shaka wewe ni shsbiki wa Simba
Tatizo manenooo mtu anaeza kukutamkia maneno matamu matam unajiona wewe ndio wewe the whole world maneno matamuuuuu...vitendo sasa!!!!! Ngachoka!!Wazo zuri sn..Tatizo sina mchuzi,hebu muulize huyo mahondaw yupo Tyr kukibeba kile kiapo cha madhabauni cha 'umpende kwenye shida na Raha?'
Kama jibu lake ni ndiyo basi nami nipo Tyr kupambana usiku na mchana ili siku moja nimpeleke siyo Tu Manhattan Bali hata pia visiwa vya Ibiza Spain Kula maraha
Hapo kwenye maneno matamuMimi sijakutamkia maneno yoyote matamu zaidi ya kukuambia ukweli kwamba ninapambana kuzisakaTatizo manenooo mtu anaeza kukutamkia maneno matamu matam unajiona wewe ndio wewe the whole world maneno matamuuuuu...vitendo sasa!!!!! Ngachoka!!
Tabia ya ntu na ntu π ..Ila bd hujanijibu,unajizungusha Tu bdkugongewa Ni tabia ya mtu mkuu!!!!!!
Najua cappuccino hutumiagi, na kama walikuwekea maziwa nitajuaje πUnaibiwa kila siku wakati huwa nakupa lecture la kahawa unataka kuniambia huwa huelewi π¬π¬π¬.. hii ni Cappuccinoππ
πππ waliweka ile cream basi πππNajua cappuccino hutumiagi, na kama walikuwekea maziwa nitajuaje π
Nimesemea generally.. huwezi kupingana na nature nowdays tunavumilia tu hatuna namna!Hapo kwenye maneno matamuMimi sijakutamkia maneno yoyote matamu zaidi ya kukuambia ukweli kwamba ninapambana kuzisaka
Sisi watoto wa mtaa tuko real,hatuna kupakapaka maneno rangi na blah blah kibao,Sisi tunachojua ni kupenda Tu..maneno matamu na zawadi za Maua nawaachia kina .... Wa kishua
kugongeana πππMnajadili nini kwani? π
Hapana mkuu, maadhimisho ya tar 01 December, siku ya ukimwi. Mie sina timu, moyo wangu mdogo sana kuumia kwa kitu ambacho siweziongeza bidii tushinde ila nafaidi maumivu.Mkuu bila Shaka wewe ni shsbiki wa Simba
Ahahahahkugongeana πππ
Depal wangu toka kitambo, nilikuwa namchola tu bwana T 1990 ELY , ningemuashia kitu kizitoIla mkuu upo faster km kipanga.Huyu Depal mara hii ameshakuwa wakoπ²
Wacha nami niendelee kutafuta pesa
Good girl ππππͺπͺπͺ Pesa isiendeshe hisia na moyoNimesemea generally.. huwezi kupingana na nature nowdays tunavumilia tu hatuna namna!