Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Sawa ntaomba ruhusa kwanza nkiruhusiwa fastaaaaa nakuja!!Ni sehemu nzuri,safi na salama kabisa
Sawa nitakukaribisha mpendwa
Sawa ntaomba ruhusa kwanza nkiruhusiwa fastaaaaa nakuja!!Ni sehemu nzuri,safi na salama kabisa
Sawa nitakukaribisha mpendwa
Sio poa hata kidogo kijana. Huku kwema mkuu ELY, habari ya kula karanga mbichi! We mzee utakuwa unapiga mechi nyingi sana.
Unikumbushe mimi silijuiHilohilo unalolijua wewe!
Halafu unaweza kuta wakubwa/mkubwa wenye raha ni wewe mkuuWakubwa wan raha sana

Sijaona hata!Hujaona kwani?? Nimeweka chap nimefuta
Mkuu naona leo upo mawindoniHatari sana sheikh

🤣🤣🤣🤣🤣 unataka niongeze nyingine!??Hapana!
Hatukupaki mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mimi ndio namendeamendea hapa ukitumia picha nione
👊🏾👊🏾👊🏾Ntaweka thread hapa.
Doing my research. Hebu niambie wewe what you would prefer?? Middle east?? South Asia? Au South America?? Or Maldives???
View attachment 2026410
A sand bank in Maldives
Tena mida anayokula sasa mahala kahali ka leo! !🙆🙆Sio poa hata kidogo kijana. Huku kwema mkuu ELY, habari ya kula karanga mbichi! We mzee utakuwa unapiga mechi nyingi sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu naona leo upo mawindoni![]()
Nakazia!!Halafu unaweza kuta wakubwa/mkubwa wenye raha ni wewe mkuu![]()
Yupp!Ni nzuri?
Anza kwanza na new season(02)....just came out juzi so kuna Epi 1 & 2 tu.Naenda kuirudiaaa upyaaaa
Sunday
Habari ya kula karanga mbichi ni njema/salama kabisa mkuuSio poa hata kidogo kijana. Huku kwema mkuu ELY, habari ya kula karanga mbichi! We mzee utakuwa unapiga mechi nyingi sana.
Kuota pia sio mbaya ndugu.Halafu unaweza kuta wakubwa/mkubwa wenye raha ni wewe mkuu![]()
Basi ntakutumia peke yakoSijaona hata!
Kuwinda nini sheikh???Mkuu naona leo upo mawindoni![]()
MmmmmmmmmhTena mida anayokula sasa mahala kahali ka leo! !![]()
Hapana zimetoshaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 unataka niongeze nyingine!??