Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
π§π§π§π§π§ Mie huyuuuu jamaniii sitongozi mtu walikuwa wananiuzia kesi kwa mtu wa mtu, nikasema wasilinitee ugomvi wa bure bureeeπππMr. Bima unawatongoza wengine huku? Umeniachaππ nije nifate funguo?
Nani huyo anakuuzia kesi Mr. BMW wangu, utatokea ugomvi hadi asubuhi hapaπ€ͺπ§π§π§π§π§ Mie huyuuuu jamaniii sitongozi mtu walikuwa wananiuzia kesi kwa mtu wa mtu, nikasema wasilinitee ugomvi wa bure bureeeπππ
Huyo bwana Satoh Hirosh ananiuzia msala wa mtu wa watu πππ... mie hapo kwako ndio nimeisha funga mkataba haturudi nyuma tena Mrs BMW πππNani huyo anakuuzia kesi Mr. BMW wangu, utatokea ugomvi hadi asubuhi hapaπ€ͺ
Eti Mrs.BMWπππHuyo bwana Satoh Hirosh ananiuzia msala wa mtu wa watu πππ... mie hapo kwako ndio nimeisha funga mkataba haturudi nyuma tena Mrs BMW πππ
πππππEti Mrs.BMWπππ
Umenifurahisha ππππππ
kufurahi lazima, maisha yenyewe haya matamu, furaha na kufurahi lazima kutawale ππππUmenifurahisha π
Nimecheka sana[emoji2][emoji2] hii misemo mingine banaView attachment 2025805
Mi wa mkoani!!Mbona unajitoa mkuu... nikihamia dar na mie nitakuwa kama wa dar, sio kwa bata hizo
Walio amkia Lodge na ma hotelin utajua tu kupitia misosi wanayo post na walio makwao [emoji3][emoji3][emoji3]
πππππ Asee utetezi wako haujitoleshezi[emoji23][emoji23][emoji23] jaman mi nimeamkia nyumbani Ila nimewahi kuzama mtaani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Asee utetezi wako haujitoleshezi
Morning glory eeh πππππ....Nimekuja Ibadani Chanika [emoji23][emoji23]
Ha ha ha hamna kitu wewe .... Na hivyo unajua hii mvua leo imejiunga kifurushi cha siku nzimaNgoja mvua ikate,ntakustua.
Unataka kusema na wewe ulitii agizo la Paul Makonda la kuhama dsm kwa ambao hatukuwa na shuguli ya kufanya?Mi wa mkoani!!
πππ SatooohKuhusu Depal mkuu usiseme hivyoooo!!
Roho inauma,Mimi nanyeshewa mvua na night shift wewe mtoto kalalia kifua[emoji3]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Leo mvua imeunga bando la bila kikomoHa ha ha hamna kitu wewe .... Na hivyo unajua hii mvua leo imejiunga kifurushi cha siku nzima
Inanogaje nogaje kwanza?Hakuna soda inafanania na wine.
Wine is something else aisee.
Go and try wallaqh you'll never regret[emoji41][emoji39]
Selfika wapo.Uliona wapi mnyakyusa mzuri?